Description of image PROSPECTIVE GRADUANDS FOR ACADEMIC YEAR 2023-2024   |   Description of image Financial Statement for the Year Ended June 2023
Register now
Top level banner

CHUO CHA SERIKALI ZA MITAA CHAENDELEA NA UTOAJI WA MAFUNZO KWA VIKOSI KAZI

2024-09-07 11:31:51
Cover photo

Chuo cha Serikali za mitaa kimeendelea na utoaji wa mafunzo ya Mfumo wa Fursa na Vikwazo kwa Maendeleo ulioboreshwa (improved O&OD) kwa vikosi kazi (Council Task Force - CTF) vya halmashauri ya  Manispaa ya Singida na hamlashauri ya jiji la Mbeya. Mafunzo haya yalifanyika katika hotel ya Regency-Singida Tar 05 hadi 07 Juni, 2023 kwa ufadhili wa shirika la Helvetas - Singida chini ya mradi wa 'Sauti na Nafasi'.

<