- Home
- About Us
- Organization Structure
- Board of Trustees
- Rector
- Gallery
- Publications
- Students Welfare
- Campuses
Msanii wa Mrisho Mpoto akiwakaribisha watanzania kujiunga na Chuo cha Serikali za Mitaa.
Mkuu wa Taasisi ya Maendeleo ya Jamii Tengeru (TICD) Dkt.BakarI George akielezea jinsi Taasisi yake kinavyoshirikiana na Chuo cha Serikali za Mitaa (LGTI) juu ya uanzishwaji wa kituo cha taarifa.
Mchezaji wa Mpira wa Pete (Netball) Suzan Tondi kutoka Chuo Cha Serikali za Mitaa Hombolo Dodoma akielezea namna Chuo hicho kilivyoshinda nafasi ya kwanza katika mashindano ya Shirikisho la Vyuo Vya Elimu ya Juu Tanzaniz (SHIMIVUTA) katika mpira wa pete 2021katika mashindano yaliyofanyika Mkoani Iringa.
Copyright ©2021 Local Government Training Institute . All rights reserved.