Vyuo vya Serikali vyatakiwa kujiendesha kibiashara
Posted on: December 8th, 2023
Serikali imevitaka vyuo vyote nchini kujiendesha kibiashara badala ya kutegemea ruzuku ya fedha za matumizi kutoka Serikali kuu.
Hayo yamesemwa jana na Naibu Waziri Ofisi ya Rais TA...