Posted on: October 1st, 2020
Makamu Mkuu wa Chuo Taaluma, Utafiti, Mafunzo ya Muda Mfupi, Dr. Michael Msendekwa akionesha mfano wa suruali itakayovaliwa kama sare na wafanyakazi wa Chuo cha Serikali za Mitaa.</p>...
Posted on: October 1st, 2020
Katibu Msaidizi wa Baraza la Wafanyakazi la Chuo cha Serikali za Mitaa akionesha mfano wa shati litakalotumika kama sare kwa wafanyakazi wa Chuo cha Serikali za Mitaa wakati wa kikao cha Baraza la Waf...
Posted on: October 1st, 2020
Baraza la Wafanyakazi la Chuo cha Serikali za Mitaa limekutana leo Alhamisi tarehe 01/10/2020 chuoni Hombolo. Akizungumza wakati wa kufungua kikao hicho mwenyekiti wa Baraza la Wafanyakazi alisisitiza...