- Home
- About Us
- Organization Structure
- Board of Trustees
- Rector
- Gallery
- Publications
- Students Welfare
- Campuses
Huu ni muda wa kujiunga na Chuo cha Serikali za Mitaa kwa Mwaka wa masomo 2023/2024
sifa za kujiunga ni ufaulu wa kidato cha nne kuanzia D nne tu
Kozi tunazotoa ni
Utawala katika Serikali za Mitaa
Maendeleo ya Jamii
Rasilimali Watu
Utunzaji kumbukumbu na nyaraka
Uhasibu na Fedha
Ugavi na Ununuzi
Pia unaweza kujiunga na ngazi ya Shahada ya awali (Degree) katika fani za
Utawala na Uongozi katika Srikali za Mitaa
Maendeleo ya Jamii
Rasilmali Watu
Sifa za kijiunga na Principal Pass mbili za Kidato cha sita au Diploma yenye GPA kuanzia 3.0
Hombolo
Postal Address: P.O.Box 1125 Dodoma, Tanzania
Telephone: +255 0652870635
Mobile: +255 0652870635
Email: info@lgti.ac.tz
Copyright ©2021 Local Government Training Institute . All rights reserved.