- Home
- About Us
- Organization Structure
- Board of Trustees
- Rector
- Gallery
- Publications
- Students Welfare
- Campuses
Chuo Cha Serikali za Mitaa kimetangaza majina ya wanafunzi walioomba kujiunga kwa mwaka wa masomo 2023/2024 katika kangazi za Astashahada, Stashahada na Diploma.
kuangalia majina hayo tafadhali angalia hapa:FIRST AND SECOND ROUND SELECTION FOR NTA LEVEL 4, 5 AND 6.pdf
Pia unaweza kuchukua fomu ya kujiunga na Chuo pakua hapa:Fomu ya Kujiunga na Chuo 2023.pdf
Aidha kwa wanafunzi wote ambao majina yenu hayapo kwenye orodha hiyo mnaombwa kuchukua fomu hiyo ili muanze kufanya maandalizi kwani majina yenu yatatoka katika awamu ya tatu
Hombolo
Postal Address: P.O.Box 1125 Dodoma, Tanzania
Telephone: +255 0652870635
Mobile: +255 0652870635
Email: info@lgti.ac.tz
Copyright ©2021 Local Government Training Institute . All rights reserved.