- Home
- About Us
- Organization Structure
- Board of Trustees
- Rector
- Gallery
- Publications
- Students Welfare
- Campuses
Ifuatayo ni Orodha ya Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Chuo cha Serikali za Mitaa awamu ya kwanza kwa ngazi ya Stashahada ya awali (Basic Technician Certificates) kwa Kampasi zote tatu
Kuangalia Majina hayo Tafadhali bonyeza hapa: Awamu ya kwanza.pdf
Aidha Wanafunzi wote mnatakiwa kupakua Fomu yenye Maelekezo hapa ili mfanye maandalizi mbalimbali:-Fomu ya Kujiunga na Chuo 2023.pdf
Kwa Wanafunzi ambao majina yenu hayapo kwenye Orodha hiyo, Majina yenu yataonekana kwenye awamu ya pili
Hombolo
Postal Address: P.O.Box 1125 Dodoma, Tanzania
Telephone: +255 0652870635
Mobile: +255 0652870635
Email: info@lgti.ac.tz
Copyright ©2021 Local Government Training Institute . All rights reserved.