- Home
- About Us
- Organization Structure
- Board of Trustees
- Rector
- Gallery
- Publications
- Students Welfare
- Campuses
Watumishi wa Chuo cha Serikali za Mitaa wamehimizwa kufanya kazi kwa kuzingatia sera na miongozo mbalimbali ya Chuo na utumishi wa umma. Akizungumza wakati wa Kikao cha Baraza la Wafanyakazi, Mkuu wa Chuo cha Serikali za Mitaa, Dr. Mpamila Madale, amesisitiza kwamba ufanisi wa kazi huwepo mahali penye taratibu zinazotumika kuratibu shughuli za mahali husika, hivyo, uwepo wa sera na miongozo inayotumika katika kutekeleza majukumu mbalimbali ya Chuo unarahisisha utendaji wa kila mtumishi.
"Sera tulizoziandaa na kuzipitisha ziwafikie watumishi ili wazimiliki na kuanza kuzitumia katika shughuli mbalimbali zinazotekelezwa chuoni." alisisitiza.
Hombolo
Postal Address: P.O.Box 1125 Dodoma, Tanzania
Telephone: +255 0652870635
Mobile: +255 0652870635
Email: info@lgti.ac.tz
Copyright ©2021 Local Government Training Institute . All rights reserved.