- Home
- About Us
- Organization Structure
- Board of Trustees
- Rector
- Gallery
- Publications
- Students Welfare
- Campuses
Kwa Wahitimu wa mwaka wa masomo 2022/2023.
Majina ya wahitimu wa ngazi za cheti na shahada ya kwanza.Mnatakiwa kuhakiki majina yenu kama yanaendana na yale yaliyopo katika cheti cha matokeo ya kidato nne,pia kuangalia namba ya usajili iliyopo kwenye majina kama ipo sawa na ile iliyopo NACTVET.
Kama una changamoto yoyote ya majina tafadhali wasiliana na Ofisi ya Mitihani ili urekebishiwe taarifa zako kabla ya Mahafali.
Mwisho wa kuhakiki Majina hayo ni tarehe 15/11/2023.
Utakapoona Tangazo hili mtaarifu na mwenzako.
Kuangalia majina hayo angalia hapa:-
HUMAN RESOURCE DPT GRADUANDS.pdf
Hombolo
Postal Address: P.O.Box 1125 Dodoma, Tanzania
Telephone: +255 0652870635
Mobile: +255 0652870635
Email: info@lgti.ac.tz
Copyright ©2021 Local Government Training Institute . All rights reserved.