• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
The Local Government Training Institute (LGTI)
The Local Government Training Institute (LGTI)

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government The Local Government Training Institute (LGTI)

  • Home
  • About Us
    • Organization Structure
    • Vision and Mission
    • Objectives
    • Core Values
  • Administration
    • Board of Trustees
    • Office of the Rector
      • Legal Services Unit
      • Internal Audit Unit
      • Procurement Management Unit
      • Public Relations Unit
      • Information and Communication Unit
      • Deputy Rector PFA
        • Dean Of Students
        • Director Of Human Resource and Administration
        • Director Of Finance and Accounts
        • Director Of Planning and Institution Dev
          • Department Of Estate Management
        • Director Of Health
      • Deputy Rector ARC
        • Director Of Research and Consultancy
        • Registrar
        • Director Of Quality Assurance
        • Director Of Studies
  • Academics
    • Student Information System (SIS)
    • Mfumo wa Ujifunzaji Kielektroniki (MUKI)
      • Student Information System (SIS)
    • Department of Research, Short Course and Consultancy
    • Department of Human Resource Management
    • Department of Community Development
    • Department of Local Government Administration and Management
    • Department of Local Government Accounting and Finance
    • Department of Coordination and Quality Assurence
  • Admission
    • Maombi kwa njia ya Mtandao
    • Confirm Admission(Bachelor)
    • Programs Offered
    • Entry Qualifications
    • Fee Structure
    • Prospectus
    • Joining Instructions
  • Students Welfare
    • Student Information System (SIS)
      • New menu item
    • Dean Of Students
    • LOGISO
    • Hostels
    • Students By-laws
    • Campus Life
    • Almanac
    • Appeal Form
  • Publications
    • Reports
    • Journals
    • Acts
    • Press Release
  • Media Centre
    • Video Gallery
    • Photo Gallery
  • Maombi kwa njia ya Mtandao

Maonesho ya vyuo yafana Dodoma

Posted on: June 7th, 2022


Maonesho ya kwanza ya Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya ufundi Stadi (NACTVET) yameanz leo katika uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma kwa vyuo vyote vya Elimu ya kati na vyuo vya ufundi kuonesha vitu na kozi  mbalimbali zinazotolewa  na vyuo hivyo.

Tangu leo mapema watumishi kutoka vyuo mbalimbali vilionekana wakiingiza vifaa kwa ajili ya kufanya maonesho kwa wananchi wa mkoa wa Dodoma na wa mikoa jirani kuweza kupata firsa ya kutembelea na kujua vitu mbalimbali kutoka kwa vyuo hivyo.

Kwa siku ya kwanza alionekana Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe.Anthony Mtaka akitembelea baadhi ya mabanda likiwemo banda la Chuo cha Serikali za Mitaa.

Mara baada ya kutembelea mabanda katika uwanja huo Mheshimiwa Mtaka alionesha hali ya kuridhika na jinsi vyuo vilijiandaa kwani pamoja na kuwa ni siku ya kwanza lakini bado waoneshaji wameonekana kuhamasika na maonesho hayo.

“Kwanza nashukuru kwa NACTIVET kukubali ombi langu la maonesho ya mwaka la kuwataka na mwaka huu wafanye maonesho haya mkoani Dodoma na walikubali lakini la pili nimefurahi kuona karibu vyuo vyote vinavyosimamiwa na NACTVET vimeshiri pamoja na vyuo waalikwa na kiukweli maonesho ya mwaka huu yatavutia watu wengi wa Dodoma” Alisema Mheshimiwa Mtaka.

Akiwa katika banda la Chuo cha Serikali za Mitaa mheshimiwa Mkuu wa Mkoa aliwashauri viongozi wa Chuo hicho kuanzisha masomo ya jioni kwani kwa kuanzisha masomo ya jioni katika kampasi iliyopo katikati ya mji itawasaidia wafanyakazi kuiweza kupata elimu bila kuathiri shughuli zao za kiofisi.

Akizungumzia jinsi walivyojipanga kwenye siku ya ufunguzi itakayofanyika rasmi tarehe 10/06/2022 siku ya Ijumaa na kufunguliwa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Philip Mpango Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa aliwataka wananchi wa Mkoa wa Dodoma kujitokeza kwa wingi kwani maonesho hayo hayana kiingilio.

Pia  Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa aliwataka walimu wakuu wa shule za sekondari hasa zilizopo Dodoma mjini wawaruhusu wanafunzi wao kutembelea kwenye maonesho hayo ili wapate kujifunza mambo mbalimbli.

Kwa upande wake Naibu Mkuu wa Chuo Taaluma wa Chuo cha Serikali za Mitaa Dkt.Michael Msendekwa alisema kuwa wamefurahi kwa Mkuu wa Mkoa wa Dodoma kutembelea katika banda la Chuo hicho kwani inaonesha jinsi gani viongozi wanakipa kipaumbele Chuo cha Serikali za Mitaa.

“Pia tuseme kuwa tumepokea ushauri kutoka kwa Mkuu wa mkoa wa Dodoma wa kututaka kuanzisha masomo ya jioni, tutaenda kukaa katika vikao vya kisheria ili tuone hili alilolisema Mheshimiwa Mtaka tunalifanyia kazi” Alisema Dkt.Msendekwa.

Vilevile Naibu Makamu huyo alitoa wito kwa wanafunzi walihitimu kidato cha nne na wenye sifa za kujiunga na Chuo waweze kufanya maombi ya kujiunga na chuo kwa mwaka wa masomo wa 2022/2023 unaotarajiwa kuanza mwezi septemba 2022.


Announcements

  • Maombi ya Kujiunga na Chuo kwa awamu ya Mwezi Machi 2022/2023 February 01, 2023
  • View All

Latest News

  • BARAZA LA WAFANYAKAZI LGTI LAPATIWA MAFUNZO

    December 30, 2022
  • LGTI BINGWA NETBALL VYUO VYA ELIMU YA JUU TANZANIA

    December 20, 2022
  • CCM DODOMA MJINI WAFUNDWA CHUO CHA SERIKALI ZA MITAA

    December 10, 2022
  • 4923 Wahitimu Chuo Cha Serikali za Mitaa 2022

    December 01, 2022
  • View All

Video

Karibu Chuo cha Serikali za Mitaa
More Videos

Quick Links

  • TCU Admission Almanac for 2021/2022 Admission Cycle
  • Student By-laws
  • OPRAS Forms
  • Institute's Almanac
  • Prospectus

Related Links

  • Tamisemi
  • Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi
  • Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma
  • Dirisha la Hati ya Mshahara
  • Public Service Recruitment Secretariat

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

    Hombolo

    Postal Address: P.O.Box 1125 Dodoma, Tanzania

    Telephone: +255 26 296 1101

    Mobile: 733542917/733542915

    Email: info@lgti.ac.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

Ghostwriter

    • Disclaimer
    • Privacy Policy

Copyright ©2021 Local Government Training Institute . All rights reserved.