• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
The Local Government Training Institute (LGTI)
The Local Government Training Institute (LGTI)

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government The Local Government Training Institute (LGTI)

  • Home
  • About Us
    • Organization Structure
    • Vision and Mission
    • Objectives
    • Core Values
  • Administration
    • Board of Trustees
    • Office of the Rector
      • Legal Services Unit
      • Internal Audit Unit
      • Procurement Management Unit
      • Public Relations Unit
      • Information and Communication Unit
      • Deputy Rector PFA
        • Dean Of Students
        • Director Of Human Resource and Administration
        • Director Of Finance and Accounts
        • Director Of Planning and Institution Dev
          • Department Of Estate Management
        • Director Of Health
      • Deputy Rector ARC
        • Director Of Research and Consultancy
        • Registrar
        • Director Of Quality Assurance
        • Director Of Studies
  • Academics
    • Student Information System (SIS)
    • Mfumo wa Ujifunzaji Kielektroniki (MUKI)
      • Student Information System (SIS)
    • Department of Research, Short Course and Consultancy
    • Department of Human Resource Management
    • Department of Community Development
    • Department of Local Government Administration and Management
    • Department of Local Government Accounting and Finance
    • Department of Coordination and Quality Assurence
  • Admission
    • Maombi kwa njia ya Mtandao
    • Confirm Admission(Bachelor)
    • Programs Offered
    • Entry Qualifications
    • Fee Structure
    • Prospectus
    • Joining Instructions
  • Students Welfare
    • Student Information System (SIS)
      • New menu item
    • Dean Of Students
    • LOGISO
    • Hostels
    • Students By-laws
    • Campus Life
    • Almanac
    • Appeal Form
  • Publications
    • Reports
    • Journals
    • Acts
    • Press Release
  • Media Centre
    • Video Gallery
    • Photo Gallery
  • Maombi kwa njia ya Mtandao

Maombi kwa njia ya Mtandao yarejea LGTI

Posted on: June 9th, 2022

Maombi ya kujiunga na Chuo cha Serikali za kwa mwaka wa masomo 2022/2023 kwa njia ya mtandao yameanza rasmi leo kwa wanafunzi mbalimbali wanaotembelea kwenye tovuti ya Chuo hichi kuweza kufanya maombi hayo bila shida yoyote.

Wanafunzi na baadhi ya wazazi walionekana wakitembelea katika banda la Chuo cha Serikali za Mitaa  kwenye maonesho ya Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya ufundi Stadi  yanayoendelea katika uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma wamefurahia kuanza kwa udahili kwa njia ya mtandao kwani kwa kutumia njia hiyo kutawasaidia wao kufanya maombi hayo hata wakiwa nyumbani kwao kwa kutumia simu zao za mkononi.

"Sisi kama wanafunzi tumefurahi sana kwa kuanza kwa mfumo huu wa maombi ya mtandao kwani itatupunguzia usumbufu wa kwenda posta au kuscan na kutuma kwa njia ya barua pepe kwani mfumo huu unaweza kuufanya hata ukiwa nyumbani muda wowote"  Alisema Agnes Robert Mwanafunzi aliyehitimu kidato cha nne mwaka 2021.

Kwa sasa wanafunzi wanaweza kufanya maombi yao kwa urahisi kupitia mfumo huo unaopatikana kwenye tovuti ya Chuo.

Kuweza kufanya maombi hayo tafadhali bonyeza hapa: Online Application System

Announcements

  • Maombi ya Kujiunga na Chuo kwa awamu ya Mwezi Machi 2022/2023 February 01, 2023
  • View All

Latest News

  • BARAZA LA WAFANYAKAZI LGTI LAPATIWA MAFUNZO

    December 30, 2022
  • LGTI BINGWA NETBALL VYUO VYA ELIMU YA JUU TANZANIA

    December 20, 2022
  • CCM DODOMA MJINI WAFUNDWA CHUO CHA SERIKALI ZA MITAA

    December 10, 2022
  • 4923 Wahitimu Chuo Cha Serikali za Mitaa 2022

    December 01, 2022
  • View All

Video

Karibu Chuo cha Serikali za Mitaa
More Videos

Quick Links

  • TCU Admission Almanac for 2021/2022 Admission Cycle
  • Student By-laws
  • OPRAS Forms
  • Institute's Almanac
  • Prospectus

Related Links

  • Tamisemi
  • Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi
  • Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma
  • Dirisha la Hati ya Mshahara
  • Public Service Recruitment Secretariat

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

    Hombolo

    Postal Address: P.O.Box 1125 Dodoma, Tanzania

    Telephone: +255 26 296 1101

    Mobile: 733542917/733542915

    Email: info@lgti.ac.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

Ghostwriter

    • Disclaimer
    • Privacy Policy

Copyright ©2021 Local Government Training Institute . All rights reserved.