• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff email |
Local Government Training Institute (LGTI)
Local Government Training Institute (LGTI)

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Local Government Training Institute (LGTI)

  • Home
  • About Us
    • Organization Structure
    • Vision and Mission
    • Objectives
    • Core Values
  • Administration
    • Board of Trustees
    • Office of the Rector
      • Legal Services Unit
      • Internal Audit Unit
      • Procurement Management Unit
      • Public Relations Unit
      • Information and Communication Unit
      • Deputy Rector PFA
        • Dean Of Students
        • Director Of Human Resource and Administration
        • Director Of Finance and Accounts
        • Director Of Planning and Institution Dev
          • Department Of Estate Management
        • Director Of Health
      • Deputy Rector ARC
        • Director Of Research and Consultancy
        • Registrar
        • Director Of Quality Assurance
        • Director Of Studies
  • Academics
    • Student Information System (SIS)
    • Mfumo wa Ujifunzaji Kielektroniki (MUKI)
      • Student Information System (SIS)
    • Department of Research, Short Course and Consultancy
    • Department of Human Resource Management
    • Department of Community Development
    • Department of Local Government Administration and Management
    • Department of Local Government Accounting and Finance
    • Department of Coordination and Quality Assurence
  • Admission
    • Online Application System (OAS)
    • Confirm Admission(Bachelor)
    • Programs Offered
    • Entry Qualifications
    • Fee Structure
    • Prospectus
    • Joining Instructions
  • Students Welfare
    • Student Information System (SIS)
      • New menu item
    • Dean Of Students
    • LOGISO
    • Hostels
    • Students By-laws
    • Campus Life
    • Almanac
    • Appeal Form
  • Publications
    • Reports
    • Journals
    • Acts
    • Press Release
  • Media Centre
    • Video Gallery
    • Photo Gallery
  • Library

LGTI YATOA MAFUNZO KWA WATUMISHI WAPYA

Posted on: April 12th, 2022

Watumishi wa Umma wameshauriwa kuwa mahiri kwenye utumishi wao hasa kwa kuzingatia sheria na kufanyakazi kwa uwadilifu ikiwemo kutumia vizuri rasilimali za umma kwa manufaa ya umma badala ya binafsi.

Rai hiyo imetolewa na Kaimu Katibu Tawala wa mkoa wa Mbeya Bwana Donald Bombo wakati akifungua mafunzo elekezi kwa waajiriwa wapya wa kada ya Uhandisi iliyohusisha mikoa ya nyanda za juu kusini.

Alisema kuwa iwapo watumishi wa umma wataweza kuzingatia taratibu za ufanyajikazi wao wataweza kutoa huduma bora kwa wananchi na hivyo kusaidia kuondoa malalamiko kutoka kwa wananchi.

“Ni imani yangu baada ya mafunzo haya mtaweza kutumia vizuri muda wenu wa kazi katika kutoa huduma bora kwa wananchi lakini na kuhakikisha mnasimamia kwa umakini rasilimali za umma ziweze kutumika kama ilivyokusudiwa” Alisema Bombo.

Hata hivyo aliwataka watumishi hao kuyatumia mafunzo hayo katika kuboresha utendajikazi wao kwa kuhakikisha wanafuata misingi na kanuni zilizowekwa za utumishi wa Umma katika utekelezaji wa majukumu yao.

Kwa upande wake Mkurugenzi Msaidizi Rasilimali watu kutoka Ofisi ya Rais na Tawala za mikoa Bwana Marko Masaya alisema kuwa wahandisi hao wataweza kujifunza mada mbalimbali ikiwemo kanuni za utumishi wa umma,maadili  ya utumishi .

“Watakwenda kujifunza pia mahusiano kati yao na watendaji na viongozi wa kisiasa,mawasiliano katika utumishi wa umma,pamoja nan a dhana nzima ya rushwa ili kuweza kuona namna wanavyoweza kuiepuka” Alisema Masaya.

Mada mbalimbali ziliwasilishwa katika mafunzo hayo ikiwemo mada ya Mawasiliano katika utumishi wa Umma, Uongozi na Uwajibikaji katika Utumishi wa Umma na Mahusiano kati ya Viongozi wa kisiasa na Watendaji katika Sekretarieti za Mikoa,Mamlaka za Serikali za Mitaa na TARURA zilizowasilishwa na Bwana Petro Nziku Mkufunzi kutoka Chuo Cha Serikali za Mitaa na Mada ya Mfumo wa Ujifunzaji Kieletroniki (MUKI) iliyotolewa na Bwana Silver Leole Kaimu Mkuu wa Kitengo cha TEHAMA kutoka Chuo Cha Serikali za Mitaa.

Mafunzo hayo kwa watumishi wapya wa kada ya uhandisi yalianza kutolewa mikoa ya Kanda ya Kusini katika Mkoa wa Mtwara,Mikoa ya Kanda ya Kaskazini yalifanyika mkoani Tanga, Mikoa ya Kanda ya Ziwa yalifanyika mkoani Mwanza na kwa mikoa ya nyanda za juu Kusni yamefanyika mkoani Mbeya.

Announcements

  • MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA NA OFISI YA RAIS -TAMISEMI KUJIUNGA NA CHUO May 27, 2022
  • FOMU YA KUJIUNGA NA CHUO KWA MWAKA WA MASOMO 2022/2023 May 18, 2022
  • KUJIUNGA NA CHUO KWA MWAKA WA MASOMO 2022/23 January 24, 2022
  • Approved Examination Results for Supplementary,Special and Carry Over for Semester I Academic Year 2021/2022 April 25, 2022
  • View All

Latest News

  • LGTI YATOA MAFUNZO KWA WATUMISHI WAPYA

    April 12, 2022
  • LGTI yaingia mikataba ya Zaidi ya milioni 270

    March 10, 2022
  • Wadau wa Nyumba za kulala wanafunzi Hombolo wakutana na Uongozi wa Chuo

    December 31, 2021
  • LGTI yang’ara michezo ya SHIMIVUTA 2021

    December 19, 2021
  • View All

Video

Mafunzo ya Kituo cha Taarifa
More Videos

Quick Links

  • TCU Admission Almanac for 2021/2022 Admission Cycle
  • Student By-laws
  • OPRAS Forms
  • Institute's Almanac
  • Prospectus

Related Links

  • Tamisemi
  • Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi
  • Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma
  • Dirisha la Hati ya Mshahara
  • Public Service Recruitment Secretariat

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

    Hombolo

    Postal Address: P.O.Box 1125 Dodoma, Tanzania

    Telephone: +255 26 296 1101

    Mobile: 736296110/712575754

    Email: info@lgti.ac.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

Ghostwriter

    • Disclaimer
    • Privacy Policy

Copyright ©2021 Local Government Training Institute . All rights reserved.