• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff email |
Local Government Training Institute (LGTI)
Local Government Training Institute (LGTI)

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Local Government Training Institute (LGTI)

  • Home
  • About Us
    • Organization Structure
    • Vision and Mission
    • Objectives
    • Core Values
  • Administration
    • Board of Trustees
    • Office of the Rector
      • Legal Services Unit
      • Internal Audit Unit
      • Procurement Management Unit
      • Public Relations Unit
      • Information and Communication Unit
      • Deputy Rector PFA
        • Dean Of Students
        • Director Of Human Resource and Administration
        • Director Of Finance and Accounts
        • Director Of Planning and Institution Dev
          • Department Of Estate Management
        • Director Of Health
      • Deputy Rector ARC
        • Director Of Research and Consultancy
        • Registrar
        • Director Of Quality Assurance
        • Director Of Studies
  • Academics
    • Student Information System (SIS)
    • Mfumo wa Ujifunzaji Kielektroniki (MUKI)
      • Student Information System (SIS)
    • Department of Research, Short Course and Consultancy
    • Department of Human Resource Management
    • Department of Community Development
    • Department of Local Government Administration and Management
    • Department of Local Government Accounting and Finance
    • Department of Coordination and Quality Assurence
  • Admission
    • Online Application System (OAS)
    • Confirm Admission(Bachelor)
    • Programs Offered
    • Entry Qualifications
    • Fee Structure
    • Prospectus
    • Joining Instructions
  • Students Welfare
    • Student Information System (SIS)
      • New menu item
    • Dean Of Students
    • LOGISO
    • Hostels
    • Students By-laws
    • Campus Life
    • Almanac
    • Appeal Form
  • Publications
    • Reports
    • Journals
    • Acts
    • Press Release
  • Media Centre
    • Video Gallery
    • Photo Gallery
  • Library

LGTI yaingia mikataba ya Zaidi ya milioni 270

Posted on: March 10th, 2022

Chuo Cha Serikali za Mitaa kimesaini mikataba mbalimbali yenye thamani ya shilingi milioni 274,260,362 na wazabuni wa usambazaji wa vifaa.

Mikataba hiyo imesainiwa leo na Mkuu wa Chuo hicho Dkt.Mpamila Madale ni ya ununuzi wa vitabu kwa ajili ya miongozo kwa wanafunzi wenye thamani ya shilingi milioni 48,625,000 kutoka Mzumbe Book Project, vitabu vya kujibia mitihani wenye thamani ya shilingi135,700,000 kutoka Kesanya General Suppliers na  mkataba wa kusambaziwa vitabu vya kiada na ziada ili kuongeza idadi ya vitabu kwenye maktaba ya chuo wenye thamani ya shilingi milioni 89,935,362 kutoka Malore Internatinal.

Akizungumza kabla ya utiaji saini mikataba hiyo Mkuu wa Chuo aliwataka wazabuni hao kuisoma vizuri na kuilewa mikataba hiyo, kutunza maadili ya kazi zao kwa kuhakikisha pamoja na kuwa na nyaraka bora pia aliwataka kuhakikisha nyaraka zote ambazo hazihitajiki wanaziteketeza ili zisisambae hovyo  mitaani.

“Nawaomba kila mmoja atekeleze majukumu yake kwa mujibu wa mkataba ili tupate bidhaa bora na sisi kama chuo kwa upande wetu tutafanya yote yaliyomo kwenye mkataba” Alisisitiza Mkuu wa Chuo.

Vile vile Dkt. Madale aliwataka wazabuni hao kuzingatia utunzaji wa mazingira wakati wote wa mkataba kwa kutengeneza bidhaa zisizoharibu mazingira.

Wakiongea mara baada ya kusaini mikataba hiyo bwana Hyacinth Komba kutoka Mzumbe Book Project alisema kwa upande wao watahakikisha wanatimiza yote yaliyomo kwenye mkataba kwa wakati ili wasikwamishe kazi za chuo.


Kwa upande wake Mkurugenzi wa Kesanya General Suppliers bwana Shadrack Nyakire alishukuru kwa kuingiwa kwa mikataba hiyo na kumhakikishia mkuu wa chuo kutoa huduma bora Pamoja na changangamoto za usafiri wa ndege wakati wa kuleta vifaa hivyo kutoka nje ya chuo.

Akifunga hafla hiyo ya utiaji wa Saini wa mikataba Mkuu wa Chuo Dkt.Madale amesema kuwa pamoja na changamoto hizo za usafiri lakini wanapaswa kuhakikisha wanaagiza vifaa mapema ili viweze kufika kwa  wakati n ahata kama vikichelewa itolewe taarifa kwa uongozi wa chuo kwa maandishi na kuleta Ushahidi wa kuthibitisha uchelewaji huo.  

Announcements

  • MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA NA OFISI YA RAIS -TAMISEMI KUJIUNGA NA CHUO May 27, 2022
  • FOMU YA KUJIUNGA NA CHUO KWA MWAKA WA MASOMO 2022/2023 May 18, 2022
  • KUJIUNGA NA CHUO KWA MWAKA WA MASOMO 2022/23 January 24, 2022
  • Approved Examination Results for Supplementary,Special and Carry Over for Semester I Academic Year 2021/2022 April 25, 2022
  • View All

Latest News

  • LGTI YATOA MAFUNZO KWA WATUMISHI WAPYA

    April 12, 2022
  • LGTI yaingia mikataba ya Zaidi ya milioni 270

    March 10, 2022
  • Wadau wa Nyumba za kulala wanafunzi Hombolo wakutana na Uongozi wa Chuo

    December 31, 2021
  • LGTI yang’ara michezo ya SHIMIVUTA 2021

    December 19, 2021
  • View All

Video

Mafunzo ya Kituo cha Taarifa
More Videos

Quick Links

  • TCU Admission Almanac for 2021/2022 Admission Cycle
  • Student By-laws
  • OPRAS Forms
  • Institute's Almanac
  • Prospectus

Related Links

  • Tamisemi
  • Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi
  • Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma
  • Dirisha la Hati ya Mshahara
  • Public Service Recruitment Secretariat

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

    Hombolo

    Postal Address: P.O.Box 1125 Dodoma, Tanzania

    Telephone: +255 26 296 1101

    Mobile: 736296110/712575754

    Email: info@lgti.ac.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

Ghostwriter

    • Disclaimer
    • Privacy Policy

Copyright ©2021 Local Government Training Institute . All rights reserved.