• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
The Local Government Training Institute (LGTI)
The Local Government Training Institute (LGTI)

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government The Local Government Training Institute (LGTI)

  • Home
  • About Us
    • Organization Structure
    • Vision and Mission
    • Objectives
    • Core Values
  • Administration
    • Board of Trustees
    • Office of the Rector
      • Legal Services Unit
      • Internal Audit Unit
      • Procurement Management Unit
      • Public Relations Unit
      • Information and Communication Unit
      • Deputy Rector PFA
        • Dean Of Students
        • Director Of Human Resource and Administration
        • Director Of Finance and Accounts
        • Director Of Planning and Institution Dev
          • Department Of Estate Management
        • Director Of Health
      • Deputy Rector ARC
        • Director Of Research and Consultancy
        • Registrar
        • Director Of Quality Assurance
        • Director Of Studies
  • Academics
    • Student Information System (SIS)
    • Mfumo wa Ujifunzaji Kielektroniki (MUKI)
      • Student Information System (SIS)
    • Department of Research, Short Course and Consultancy
    • Department of Human Resource Management
    • Department of Community Development
    • Department of Local Government Administration and Management
    • Department of Local Government Accounting and Finance
    • Department of Coordination and Quality Assurence
  • Admission
    • Maombi kwa njia ya Mtandao
    • Confirm Admission(Bachelor)
    • Programs Offered
    • Entry Qualifications
    • Fee Structure
    • Prospectus
    • Joining Instructions
  • Students Welfare
    • Student Information System (SIS)
      • New menu item
    • Dean Of Students
    • LOGISO
    • Hostels
    • Students By-laws
    • Campus Life
    • Almanac
    • Appeal Form
  • Publications
    • Reports
    • Journals
    • Acts
    • Press Release
  • Media Centre
    • Video Gallery
    • Photo Gallery
  • Maombi kwa njia ya Mtandao

Karibuni LGTI kujiunga na Shahada kwa Mwaka wa Masomo 2022/2023

Posted on: June 21st, 2022

Mara baada ya dirisha la udahili awamu ya kwanza kwa ngazi ya shahada kufunguliwa rasmi, wahitimu mbalimbali wametakiwa kuanza kufanya maombi ya kujiunga na Chuo cha Serikali za Mitaa kwa ajili ya mwaka wa masomo 2022/2023 yanayotarajiwa kuanza kuanzia mwezi Oktoba mwaka 2022.

Hayo yamesemwa leo na Naibu Mkuu wa Chuo Taaluma Dkt.Michael Msendekwa alipokuwa anazungumza na mwandishi wa habari hii ofisini kwake wakati akielezea jinsi Chuo kilivyojipanga kuwapokea wanafunzi katika mwaka mpya wa masomo.

"Napenda kuwafahamisha wanafunzi wote waliomaliza kidato cha sita na diploma kwa miaka ya nyuma waanze kufanya udahili katika Chuo cha Serikali za Mitaa ili wajiunge na shahada katika fani za Utawala katika Serikali za Mitaa, Maendeleo ya Jamii na Rasilimali Watu" Alisema Dkt.Msendekwa. 

Akiongelea kuhusu sifa za kujiunga na Chuo Naibu Mkuu huyo wa Chuo alisema kuwa kwa wale waliohitimu kidato cha sita wanatakiwa kuwa na ufaulu katika masomo angalau mawili yenye jumla ya alama 4 (kuanzia D mbili) na kwa wale wahitimu wa ngazi ya diploma sifa ni angalau ufaulu wa G.P.A 3.0.

Kuhusu miundo mbinu ya kutosheleza wanafunzi Naibu Mkuu wa Chuo alisema kuwa Chuo kina miundombinu ya kutosha kwani kina madarasa makubwa ya kisasa yanayokithi mahitaji ya idadi ya wanafunzi wengi na wa hali zote pia kuna mabweni ya kutosha wanafunzi wengi.

"Kuhusu miundombinu Chuo kimejipanga kwa kujenga madarasa na mabweni ya kutosha yanayokithi hali ya kila mwanafunzi, pia tumejenga njia kwa ajili ya walemavu wa miguu na tumehakikisha tumenunua mashine nyingi za maandishi ya nukta nundu kwa ajili kutumiwa walemavu wa macho. Aliongeza Naibu Mkuu wa Chuo huyo.

"Napenda kuwasisitiza kutuma maombi yao kwa njia ya mtandao kwani njia hii ni rahisi kwani kila muombaji anaingiza taarifa zake mwenyewe kwa kutumia simu janja (Smart phone) au Kompyuta yake na kama amekosea anaweza kurekebisha huko huko alipo na kama vifaa vyote hivyo hana anaweza kutembelea sehemu wanayotoa huduma ya Internet na kufanyiwa maombi hayo kwa gharama ndogo tu" Alisisitiza Dkt.Msendekwa.

Dirisha la udahili wa wanafunzi limefunguliwa kwa ngazi zote kuanzia ngazi ya Cheti hadi ngazi ya shahada na kwa yoyote anayehitaji kufanya maombi bonyeza hapa:-Maombi kwa njia ya Mtandao

Announcements

  • Maombi ya Kujiunga na Chuo kwa awamu ya Mwezi Machi 2022/2023 February 01, 2023
  • View All

Latest News

  • BARAZA LA WAFANYAKAZI LGTI LAPATIWA MAFUNZO

    December 30, 2022
  • LGTI BINGWA NETBALL VYUO VYA ELIMU YA JUU TANZANIA

    December 20, 2022
  • CCM DODOMA MJINI WAFUNDWA CHUO CHA SERIKALI ZA MITAA

    December 10, 2022
  • 4923 Wahitimu Chuo Cha Serikali za Mitaa 2022

    December 01, 2022
  • View All

Video

Karibu Chuo cha Serikali za Mitaa
More Videos

Quick Links

  • TCU Admission Almanac for 2021/2022 Admission Cycle
  • Student By-laws
  • OPRAS Forms
  • Institute's Almanac
  • Prospectus

Related Links

  • Tamisemi
  • Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi
  • Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma
  • Dirisha la Hati ya Mshahara
  • Public Service Recruitment Secretariat

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

    Hombolo

    Postal Address: P.O.Box 1125 Dodoma, Tanzania

    Telephone: +255 26 296 1101

    Mobile: 733542917/733542915

    Email: info@lgti.ac.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

Ghostwriter

    • Disclaimer
    • Privacy Policy

Copyright ©2021 Local Government Training Institute . All rights reserved.