• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff email |
Local Government Training Institute (LGTI)
Local Government Training Institute (LGTI)

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Local Government Training Institute (LGTI)

  • Home
  • About Us
    • Organization Structure
    • Vision and Mission
    • Objectives
    • Core Values
  • Administration
    • Board of Trustees
    • Office of the Rector
      • Legal Services Unit
      • Internal Audit Unit
      • Procurement Management Unit
      • Public Relations Unit
      • Information and Communication Unit
      • Deputy Rector PFA
        • Dean Of Students
        • Director Of Human Resource and Administration
        • Director Of Finance and Accounts
        • Director Of Planning and Institution Dev
          • Department Of Estate Management
        • Director Of Health
      • Deputy Rector ARC
        • Director Of Research and Consultancy
        • Registrar
        • Director Of Quality Assurance
        • Director Of Studies
  • Academics
    • Student Information System (SIS)
    • Mfumo wa Ujifunzaji Kielektroniki (MUKI)
      • Student Information System (SIS)
    • Department of Research, Short Course and Consultancy
    • Department of Human Resource Management
    • Department of Community Development
    • Department of Local Government Administration and Management
    • Department of Local Government Accounting and Finance
    • Department of Coordination and Quality Assurence
  • Admission
    • Online Application System (OAS)
    • Confirm Admission(Bachelor)
    • Programs Offered
    • Entry Qualifications
    • Fee Structure
    • Prospectus
    • Joining Instructions
  • Students Welfare
    • Student Information System (SIS)
      • New menu item
    • Dean Of Students
    • LOGISO
    • Hostels
    • Students By-laws
    • Campus Life
    • Almanac
    • Appeal Form
  • Publications
    • Reports
    • Journals
    • Acts
    • Press Release
  • Media Centre
    • Video Gallery
    • Photo Gallery
  • Online Application System (OAS)

Dkt.Madale atembelea Banda la Chuo Sabasaba

Posted on: July 7th, 2022

Mkuu wa Chuo cha Serikali za Mitaa Dkt.Mpamila Madale ametembelea banda la maonesho la Chuo hicho kwenye maonesho ya 46 ya Biashara Sabasaba Jijini Dar es Salaam kwa nia ya kuangalia jinsi Chuo hicho kinavyotoa huduma kwa wahitaji katika maonesho hayo.

Daktari Madale ametoa wito kwa wazazi, walezi pamoja na vijana wanaotaka kujiunga na Chuo hicho katika fani mbalimbali ikiwemo Maendeleo ya Jamii,Utawala katika Serikali za Mitaa,Uhasibu na Fedha,Utunzaji kumbukumbu na nyaraka,Ugavi na Manunuzi pamoja na Rasilimali kuanzia ngazi ya Astashahada ya msingi hadi Stashahada na wale wahitaji wa kujiunga na Shahada katika fani za Maendeleo ya Jamii,Utawala katika Serkali za Mitaa na Rasilimali watu  kutembelea katika banda hilo lililopo katika banda la Jakaya Kikwete ili  kupata wasaa mzuri zaidi wa kuuliza maswali mbalimbali na kujua kwa undani kuhusu Chuo cha Serikali za Mitaa.

Akiwa katika banda hilo pia Mkuu huyo wa Chuo alionekana akishirikishughuli mbalimbali za kutoa huduma kwa wageni waliokuja kutembelea katika banda hilo

“Kazi ya kuwahudumia wateja wetu ni ya kwetu wote bila kujali cheo ndio maana unaniona hapa na mimi natoa huduma kwa wateja waliokuja kupata huduma katika chuo chetu ikiwemo wanaohitaji kufanya udahili kwa njia ya mtandao na wale wanaokuja kuchukua fomu za kujiunga na Chuo baada ya kuchaguliwa na Serikali kujiunga na Chuo chetu” Alisema Dtk.Madale.

Kwa upande wake Naibu Mkuu wa Chuo anayeshughulikia Utawala na Fedha Dkt.Yusuph Mashala aliwataka watumishi wa chuo waliokuja kwa ajili ya maonesho hayo kuhakikisha wanajitahidi kutoa huduma bora katika kipindi chote cha maonesho kwani Chuo kinawategemea kukisemea vyema na pia akawataka wakipata nafasi kutembelea katika mabanda mbalimbali ili kujifunza mambo mazuri ya huko.

Chuo cha Serikali za Mitaa kinashiriki Maonesho hayo kwa lengo la kujitambulisha na kukitangaza Chuo pamoja na Programu zake na kufanya udahili wa kujiunga na Chuo hicho kwa Mwaka wa masomo 2022/2023.

Announcements

  • Provisional Examination Results for Semester II Academic year 2021/2022 July 29, 2022
  • Maombi kwa njia ya Mtandao June 09, 2022
  • KUJIUNGA NA CHUO KWA MWAKA WA MASOMO 2022/23 January 24, 2022
  • Approved Examination Results for Supplementary,Special and Carry Over for Semester I Academic Year 2021/2022 April 25, 2022
  • View All

Latest News

  • TCU YAFUNGUA DIRISHA LA UDAHILI

    July 08, 2022
  • Dkt.Madale atembelea Banda la Chuo Sabasaba

    July 07, 2022
  • Karibuni LGTI kujiunga na Shahada kwa Mwaka wa Masomo 2022/2023

    June 21, 2022
  • Maombi kwa njia ya Mtandao yarejea LGTI

    June 09, 2022
  • View All

Video

Mambo ya Mjomba kuhusu Chuo cha Serikali za Mitaa
More Videos

Quick Links

  • TCU Admission Almanac for 2021/2022 Admission Cycle
  • Student By-laws
  • OPRAS Forms
  • Institute's Almanac
  • Prospectus

Related Links

  • Tamisemi
  • Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi
  • Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma
  • Dirisha la Hati ya Mshahara
  • Public Service Recruitment Secretariat

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

    Hombolo

    Postal Address: P.O.Box 1125 Dodoma, Tanzania

    Telephone: +255 26 296 1101

    Mobile: 733542917/733542915

    Email: info@lgti.ac.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

Ghostwriter

    • Disclaimer
    • Privacy Policy

Copyright ©2021 Local Government Training Institute . All rights reserved.