• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
The Local Government Training Institute (LGTI)
The Local Government Training Institute (LGTI)

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government The Local Government Training Institute (LGTI)

  • Home
  • About Us
    • Organization Structure
    • Vision and Mission
    • Objectives
    • Core Values
  • Administration
    • Board of Trustees
    • Office of the Rector
      • Legal Services Unit
      • Internal Audit Unit
      • Procurement Management Unit
      • Public Relations Unit
      • Information and Communication Unit
      • Deputy Rector PFA
        • Dean Of Students
        • Director Of Human Resource and Administration
        • Director Of Finance and Accounts
        • Director Of Planning and Institution Dev
          • Department Of Estate Management
        • Director Of Health
      • Deputy Rector ARC
        • Director Of Research and Consultancy
        • Registrar
        • Director Of Quality Assurance
        • Director Of Studies
  • Academics
    • Student Information System (SIS)
    • Mfumo wa Ujifunzaji Kielektroniki (MUKI)
      • Student Information System (SIS)
    • Department of Research, Short Course and Consultancy
    • Department of Human Resource Management
    • Department of Community Development
    • Department of Local Government Administration and Management
    • Department of Local Government Accounting and Finance
    • Department of Coordination and Quality Assurence
  • Admission
    • Maombi kwa njia ya Mtandao
    • Confirm Admission(Bachelor)
    • Programs Offered
    • Entry Qualifications
    • Fee Structure
    • Prospectus
    • Joining Instructions
  • Students Welfare
    • Student Information System (SIS)
      • New menu item
    • Dean Of Students
    • LOGISO
    • Hostels
    • Students By-laws
    • Campus Life
    • Almanac
    • Appeal Form
  • Publications
    • Reports
    • Journals
    • Acts
    • Press Release
  • Media Centre
    • Video Gallery
    • Photo Gallery
  • Maombi kwa njia ya Mtandao

BARAZA LA WAFANYAKAZI LGTI LAPATIWA MAFUNZO

Posted on: December 30th, 2022


Wajumbe wa Baraza la wafanyakazi la Chuo cha Serikali za Mitaa (LGTI) leo ijumaa wamepatiwa mafunzo mbalimbali juu ya umuhimu wa wao kushiriki vikao vya baraza kwa lengo la kuisadia manajimenti kuhusu mambo mbalimbali katika uendeshaji wa Chuo.

Akifungua mafunzo hayo Kaimu Mkuu wa Chuo hicho Dkt.Mashala L.Yusuph aliwataka wajumbe hao wa baraza kuzingatia wanachufundishwa ili wakiwa kwenye mijadala ya vikao halali vya baraza wapate kutoa mawazo na maoni ya wanaowawakilisha ili mawazo hayo yaweze kufanyiwa kazi na manajimenti kwa maendeleo ya Chuo cha Serikali za Mitaa.

“Ndugu wajumbe wa baraza la wafanyakazi tushiriki mafunzo haya ipasavyo,tuwe wasikivu tupate uelewa wa kina ili tushirikiane kuindesha taasisi yetu” Alisema Dkt.Mashala.

Akiwaongelea watoa mada kutoka Chuo cha Wafanyakazi Tanzania - Mbeya (Tanzaia Labour College) Kaimu Mkuu aliwaahidi kuwapa ushirikiano kipindi chote cha mafunzo kwani mafunzo hayo yatawasaidia wao kama baraza la wafanyakazi kupata ujuzi wa namna bora ya kukisadia chuo katika kukiletea mabadiliko chanya.

Akitoa mada ya kwanza Mkuu wa Chuo cha Wafanyakazi Bwana Hezron Kaaya aliwataka wajumbe hao wa baraza la wafanyakazi kujua kuwa ustawi wa wafanyakazi unahitaji zaidi maridhiano na maafikiano kuliko mapambano na waajiri hivyo baraza hilo linapaswa kujua madhumuni makuu kwao ni kutetea haki na maslahi ya wafanyakazi.

“Ndugu zangu ili uwe kiongozi mzuri wa baraza la wafanyakazi lazima uwe elimu ya kutosha juu ya wafanyakazi kuhusu haki na maslahi yao lakini pia mnapaswa kujua lazima mwajiri na mfanyakazi wawe na lengo linalofanana” Alisema Bwana Kaaya.

Kwa upande wake Mratibu wa mafunzo kutoka Chuo cha wafanyakazi Bi.Martha Lwitiko aliwaambia wajumbe hao wa baraza la wafanyakazi la Chuo cha Serikali za Mitaa kuwa lazima watambue umuhimu wa kutoa huma nzuri kwa wateja wa ndani  na nje ya Chuo cha Serikali za Mitaa ili kuweza kuongeza wateja katika taasisi kwani taasisi kama Chuo kinategemea kuendeshwa kwa ada za wanafunzi hivyo kwa kuwapa huduma bora bora wateja hao wa nje kutapelekea kuizungumzia vyema taasisi na hivyo kuvutia wateja wengi zaidi kujiunga na kuongeza mapato ya taasisi.

Akitoa shukrani kwa wakufunzi hao kwa niaba ya wajumbe Katibu wa Baraza la wafanyakazi la Chuo cha Serikali za Mitaa Dkt. Mfungo Bahati alisema kuwa wameyapokea mafunzo hayo na yatawasaidia kuendelea ufanisi katika majukumu yao, yatadumisha umoja baina ya wafanyakazi na mwajiri na kuwataka wajumbe wenzake kuwa mabalozi wazuri kwa wafanyakazi waliowawakilisha ili baraza hilo liwe chachu ya mabadiliko chanya ya maendeleo ya chuo hicho.

Mafunzo hayo yatafuatiwa na kikao cha baraza la wafanyakazi yatakayofanyika Chuoni hapo siku ya jumamosi tarehe 31 Disemba,2022.

Mabaraza ya Wafanyakazi yapo kisheri na Shirikisho la wafanyakazi limeundwa rasmi mwaka 1955.


Announcements

  • Maombi ya Kujiunga na Chuo kwa awamu ya Mwezi Machi 2022/2023 February 01, 2023
  • View All

Latest News

  • BARAZA LA WAFANYAKAZI LGTI LAPATIWA MAFUNZO

    December 30, 2022
  • LGTI BINGWA NETBALL VYUO VYA ELIMU YA JUU TANZANIA

    December 20, 2022
  • CCM DODOMA MJINI WAFUNDWA CHUO CHA SERIKALI ZA MITAA

    December 10, 2022
  • 4923 Wahitimu Chuo Cha Serikali za Mitaa 2022

    December 01, 2022
  • View All

Video

Karibu Chuo cha Serikali za Mitaa
More Videos

Quick Links

  • TCU Admission Almanac for 2021/2022 Admission Cycle
  • Student By-laws
  • OPRAS Forms
  • Institute's Almanac
  • Prospectus

Related Links

  • Tamisemi
  • Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi
  • Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma
  • Dirisha la Hati ya Mshahara
  • Public Service Recruitment Secretariat

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

    Hombolo

    Postal Address: P.O.Box 1125 Dodoma, Tanzania

    Telephone: +255 26 296 1101

    Mobile: 733542917/733542915

    Email: info@lgti.ac.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

Ghostwriter

    • Disclaimer
    • Privacy Policy

Copyright ©2021 Local Government Training Institute . All rights reserved.