• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
The Local Government Training Institute (LGTI)
The Local Government Training Institute (LGTI)

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government The Local Government Training Institute (LGTI)

  • Home
  • About Us
    • Organization Structure
    • Vision and Mission
    • Objectives
    • Core Values
  • Administration
    • Board of Trustees
    • Office of the Rector
      • Legal Services Unit
      • Internal Audit Unit
      • Procurement Management Unit
      • Public Relations Unit
      • Information and Communication Unit
      • Deputy Rector PFA
        • Dean Of Students
        • Director Of Human Resource and Administration
        • Director Of Finance and Accounts
        • Director Of Planning and Institution Dev
          • Department Of Estate Management
        • Director Of Health
      • Deputy Rector ARC
        • Director Of Research and Consultancy
        • Registrar
        • Director Of Quality Assurance
        • Director Of Studies
  • Academics
    • Student Information System (SIS)
    • Student Information System (For Bachelor II and III)
    • Mfumo wa Ujifunzaji Kielektroniki (MUKI)
      • Student Information System (SIS)
    • Department of Research, Short Course and Consultancy
    • Department of Human Resource Management
    • Department of Community Development
    • Department of Local Government Administration and Management
    • Department of Local Government Accounting and Finance
    • Department of Coordination and Quality Assurence
  • Admission
    • Maombi kwa njia ya Mtandao
    • Confirm Admission(Bachelor)
    • Programs Offered
    • Entry Qualifications
    • Fee Structure
    • Prospectus
    • Joining Instructions
  • Students Welfare
    • Student Information System (SIS)
      • New menu item
    • Dean Of Students
    • LOGISO
    • Hostels
    • Students By-laws
    • Campus Life
    • Almanac
    • Appeal Form
  • Publications
    • Reports
    • Journals
    • Acts
    • Press Release
  • Media Centre
    • Video Gallery
    • Photo Gallery
  • Maombi kwa njia ya Mtandao

Namna ya Kuomba Kujiunga na Chuo

Namna ya Kuomba Kujiunga na Masomo

Yeyote anayetaka kujiunga na Chuo cha Serikali za Mitaa katika kozi zinazotolewa afuate maelekezo haya:

 

Ngazi za Masomo na Sifa za Zinazotakiwa


Astashahada (NTA Level 4 - Basic Technician Certificate)

 

Sifa: Mwombaji awe amepata angalau ufaulu wa “D” 4 za Kidato cha Nne (CSEE). Masomo ya Dini hayahusiki.

Astashahada (NTA Level 5 -Technician Certicate)

 

Sifa:  Mwombaji awe amepata angalau ufaulu wa “Principal Pass” moja na “Subsidiary”   katika mtihani wa Kidato cha Sita (ACSEE) AU awe na Astashahada (NTA Level 4 Certificate) toka Chuo chochote kilichosajiliwa na kutambuliwa na Serikali (na matokeo yake yawe yamepelekwa NACTE). Pia awe amepata angalau ufaulu wa “D” 4 za Kidato cha Nne (CSEE). Masomo ya Dini hayahusiki.

 

Stashahada (NTA Level 6 - Diploma)

 

Sifa: Mwombaji awe na Astashahada (Nta Level 5-Technician Certificate) toka Chuo chochote kilichosajiliwa na kutambuliwa na Serikali.


ANGALIZO:

  1. Kama mwombaji amefanya mtihani wa kidato cha nne zaidi ya mara moja na kufaulu, aambatanishe nakala za vyeti vyake vya awamu zote za mitihani aliyofanya.
  2. Gharama za masomo na mchanganuo wa ada unapatikana katika ukurasa wa nne(4) wa fomu ya maombi.

Fomu zinapatikana:

Chuoni, Hombolo

Kampasi ya Dodoma Mjini (Area C)

Katika tovuti ya Chuo www.lgti.ac.tz

Wizarani Ofisi ya Rais-TAMISEMI (Maktaba)

Fomu iliyokwisha jazwa iambatanishwe na malipo ya ada ya maombi ya shilingi 10,000/=kwenye LGTI APPLICATION FEE CONTROL NUMBER  994490085745  Benki ya NMB AU CRDB. 

Maombi yatumwe kwa mkono au kwa posta kwenda kwenye anuani ifuatayo: 

       

Mkuu wa Chuo,

                                    Chuo cha Serikali za Mitaa,

                                    S. L. P 1125, Dodoma.

MWISHO wa kupokea maombi ni tarehe 15/08/2022

Kwa maelezo zaidi piga simu namba  0755 241 010/ Simu ya mezani: 026 – 2961101

(Piga Jumatatu hadi Ijumaa saa za kazi,   kuanzia saa 2:00 asubuhi hadi saa 9:30 Alasiri).

 

Announcements

  • MAJINA YA WANAFUNZI WALICHAGULIWA KUJIUNGA NA CHUO KWA MKUPUO WA MACHI (MARCH INTAKE) 2022/2023 March 21, 2023
  • Provisional Examination Results for Semester I Academic year 2022/2023 March 14, 2023
  • View All

Latest News

  • BARAZA LA WAFANYAKAZI LGTI LAPATIWA MAFUNZO

    December 30, 2022
  • LGTI BINGWA NETBALL VYUO VYA ELIMU YA JUU TANZANIA

    December 20, 2022
  • CCM DODOMA MJINI WAFUNDWA CHUO CHA SERIKALI ZA MITAA

    December 10, 2022
  • 4923 Wahitimu Chuo Cha Serikali za Mitaa 2022

    December 01, 2022
  • View All

Video

Karibu Chuo cha Serikali za Mitaa
More Videos

Quick Links

  • TCU Admission Almanac for 2021/2022 Admission Cycle
  • Student By-laws
  • OPRAS Forms
  • Institute's Almanac
  • Prospectus

Related Links

  • Tamisemi
  • Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi
  • Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma
  • Dirisha la Hati ya Mshahara
  • Public Service Recruitment Secretariat

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

    Hombolo

    Postal Address: P.O.Box 1125 Dodoma, Tanzania

    Telephone: +255 26 296 1101

    Mobile: 733542917/733542915

    Email: info@lgti.ac.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

Ghostwriter

    • Disclaimer
    • Privacy Policy

Copyright ©2021 Local Government Training Institute . All rights reserved.